Baadhi ya wakaazi kaunti ya Kilifi wamemtaka gavana wa kaunti hiyo Gedion Mung’aro kulifanyia marekebisho baraza lake la mawaziri kwa madai ya kufeli kutekeleza wajibu wake...
Mbunge wa Ganze Kenneth Kazungu Tungule amesema tatizo kubwa ambalo linakumba eneo bunge hilo ni umasikini. Akizungumza kwenye kipindi cha Coco Asubuhi, Tungule amesema eneo bunge...
Maelfu ya mashabiki kutoka afrika mashariki na kati wamiminika mjini Naivasha kaunti ya Nakuru kwa mbio za magari ya WRC Makala ya mwaka 2025. Kwa mujibu...
Mkufunzi wa timu ya soka harambee stars Benni McCarthy anaamini bado kuna nafasi ya timu hiyo kufuzu dimba la dunia licha ya sare ya goli 1-1...
Bingwa wa zamani wa masumbwi kwa uzito wa juu George Foreman, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na familia...