Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohammed Noor amewahakikishia waumini wa dini ya kiislamu na wakaazi wa kaunti ya Mombasa usalama wa kutosha wakati huu wa mfungo...
Naibu katibu wa Chama cha Walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri nchini KUPPET kaunti ya Kilifi Opollo Zacharia Kopolo ametoa wito kwa serikali...
Wizara ya Afya kaunti ya Tanariver, Joshua Jarha, imesema serikai ya kaunti hiyo imewalipa wahudumu wa afya ya nyanjani malimbikizi ya marupurupu yao ambayo wamekuwa wakidai....
Mahakama kuu mjini Malindi kaunti ya Kilifi imeahirisha kwa mara ya mwisho uamuzi wa kesi ya madai ya ulaghai wa fedha unaodaiwa kutekelezwa na Kenneth Njoroge...
Jopo la uteuzi wa Makamishna wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC limetangaza kuanza zoezi la kuwapigwa msasa watu 11 ambao walituma maombi ya...