Mahakama ya Shanzu mjini Mombasa imemtaka Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini ODPP Renson Ingonga kuwasilisha mashtaka sahihi dhidi ya wakurugenzi wakuu wawili wa chuo...
Kesi ya wizi wa ardhi inayomuhusisha Wakili Joseph Munyithia na mfanyabiashara Farid Salim Almaary imechukua mkondo mpya. Hii ni baada ya mwanasheria huyo kuandikisha taarifa katika...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imehimizwa kuboresha vyuo vya kiufundi vya TVET ili kuviwezesha kutoa mafunzo ya hadhi ya juu kwa wanafunzi. Kulingana na Kiongozi wa...
Viongozi wa Chama cha ODM wamewakashfu baadhi ya wakenya wanaosherehekea kushindwa kwa aliyekuwa mgombea wa Kenya katika wadhfa wa uwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika...
Serikali ya kaunti ya Kilifi kwa ushirikiano na serikali ya kitaifa kupitia Shirika la usambazaji umeme la REREC wanaendeleza mpango wa usambazaji umeme katika kaunti ya...