Waziri wa Elimu nchini Julius Migos amesema Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imetoa shilingi bilioni 1.56, kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na...
TAHADHARI- Taifa la Marekani limetoa tahadhari ya usafiri kwa raia wake, likiwataka kutotembelea maeneo ya mpaka wa Kenya na Somalia kutokana uwezekano wa kutokea mashambulizi ya...
Wakaazi wa Mariwenyi gatuzi dogo la Mwatate kaunti ya Taita Taveta wamelalamikia uharibifu mimea yao unaosababishwa na wanyamapori katika eneo hilo. Kisa cha hivi karibuni ni...
Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani nchini Dkt Raymond Omollo amewarai wanasiasa na wafanyibiashara nchini kuisaidia serikali kufanikisha ajenda yake ya miradi ya maendeleo mashinani....
Wizara wa Elimu nchini Julius Migos amewaagiza wasimamizi wakuu wa shule za upili, msingi na baraza la mitihani nchini KNEC kuhakikisha wanaachilia stakabidhi za masomo za...