Washikadau wa sekta ya elimu nchini kwa ushirikiano na wataalamu wa masuala ya maendeleo wamezindua mkakati wa ruwaza ya mwaka 2040, kuboresha sekta ya elimu. Wakiongozwa...
Waziri wa Kilimo nchini Mutahi Kagwe amesema tangu vita kuanza katika maitaifa ya Ghuba kati ya Israeli na Marekani dhidi ya Iran, Kenya imekuwa kipata hasara...
Viongozi wa kundi la Mombasa Republican Council (MRC), wamelalamikia hatua ya kuhangaishwa na kukamatwa kiholela na maafisa wa polisi licha ya Mahakama kuu nchini kuhalalisha kundi...
Mkutano wa wabunge wa bunge la kitaifa na Seneti wa Chama ODM na UDA kuhusu utekelezaji wa mchakato wa ajenda 10 zilizoidhinishwa kati ya Rais William...
Viongozi wa Chama tawala cha UDA kaunti ya Kilifi wamekutana kuangazia mipango na mikakati ya kuimarisha chama hicho mashinani. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja...