Makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Iran yameanza kutekelezwa huku nchi hizo mbili zikithibitisha tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu hatua hiyo....
Katika juhudi za kulipiza Mashambulio ya jeshi la Marekani dhidi ya vituo vya Nyuklia, Iran siku ya Jumatatu Juni 23, imevurumisha makombora na kushambulia kambi ya...
Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika, AUC, kutoka Kenya, Raila Odinga, amevunja kimya chake na kuzungumzia uchanguzi wa nafasi hiyo...