Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika, AUC, kutoka Kenya, Raila Odinga, amevunja kimya chake na kuzungumzia uchanguzi wa nafasi hiyo...
Viongozi mbalimbali nchini watuma rasila zao za rambirambi kwa familia ya mwendazake Seneta wa Baringo William Cheptumo, aliyeaga dunia baada ya kuugua kwa mda mfupi katika...
Seneta wa kaunti ya Kilifi Stewart Madzayo analenga kuwasilisha mswada bungeni kuhusu utata wa ardhi unaendelea kuzingira wakaazi wa eneo bunge la Kilifi Kusini. Madzayo amesema...