Wakaazi wa mtaa wa Owino Uhuru katika eneo bunge la Jomvu kaunti ya Mombasa, walioathirika na sumu ya madini ya kemikali ya Lead wanalalamikia kucheleweshwa kwa...
Baadhi ya maeneo katika eneo bunge la Samburu, Kinango na Lungalunga kaunti ya Kwale huenda yakaathirika zaidi na ukame kutokana na kiangazi kikali kinachoendelea kushuhudiwa. Kulingana...
Wanaharakati wa kijamii katika kaunti ya Kilifi wameishinikiza serikali ya kitaifa kukamilisha mradi wa ujenzi wa daraja la Baricho katika gatuzi dogo la Magarini ili kuboresha...
Mahakama ya Shanzu mjini Mombasa imemtaka Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma nchini ODPP Renson Ingonga kuwasilisha mashtaka sahihi dhidi ya wakurugenzi wakuu wawili wa chuo...
Viongozi wa Chama cha ODM wamewakashfu baadhi ya wakenya wanaosherehekea kushindwa kwa aliyekuwa mgombea wa Kenya katika wadhfa wa uwenyekiti wa Tume ya umoja wa Afrika...
Wakereketwa wa maswala ya kisiasa katika eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wamelitaka jopokazi la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na...
Mamlaka ya kusambaza dawa nchini KEMSA imezitaka serikali za kaunti kulipa malimbikizi ya madeni ya jumla ya shilingi bilioni 3.5 zinazodaiwa na Mamlaka hiyo. Kulingana na...
Watu wawili wanaoshukuwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi la Alshabab wametiwa nguvuni na maafisa wa kupambana na magaidi nchini ATPU katika kaunti ya Mandera. Kulingana...
Jaji mkuu nchini Martha Koome ameelezea kutamaushwa na ufisadi ambao bado umekithiri katika idara mbalimbali za umma, akisema ufisadi humu nchini umekuwa tatizo la kitaifa ambalo...
Jopo la uteuzi wa Makamishna wapya wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, limesema zoezi la kuwahoji na kuwapiga msasa wakenya waliotuma maombi ya...