12 DAYS TO GO CHAN-Siku 12 zikiwa zimesalia kungoa nanga taji la CHAN Tumulike Mabingwa mara 2 wa kombe hilo Morocco. Morocco-Wanajiita The Atlas Lions kwa...
Wadau wa sekta ya utalii wadi ya Watamu kaunti ya Kilifi wameripoti kuimarika kwa sekta ya utalii eneo hilo mwaka wa 2025 ikilinganishwa na mwaka uliopita...
Mabingwa wa Ligi Kuu Uturuki, Galatasaray wamekamilisha usajili wa mshambuliaji, Victor Osimhen, 26, raia wa Nigeria kwa ada ya uhamisho ya jumla ya Euro milioni 75...
Timu ya taifa ya soka ya Kenya, Harambee Stars, imejiondoa rasmi katika michuano ya CECAFA inayojumuisha mataifa manne: Tanzania, Kenya, Uganda na Senegal, ambayo yalipangwa kufanyika...
Catherine Kenga amechaguliwa kuwa spika wa bunge la kaunti ya Kilifi katika kikao maalum ambacho kiliandaliwa katika bunge hilo Jumatu Julai 21 2025. Katika kikao hicho...