Mwakilishi wadi wa Sokoke kaunti ya Kilifi Thaura Mweni ametaja zoezi la kumchagua spika mpya wa bunge la kaunti ya Kilifi linalofanyika hii leo kama litakaloendeshwa...
Bunge la kaunti ya Kilifi linatarajiwa kumchagua spika mpya Julai 21,2025. Hii ni baada ya Teddy Mwambire kubanduliwa uongozi na wawakilishi wadi Juni 30 2025 kupitia...
Mwanaharakati Boniface Mwangi anatarajiwa kufikishwa mahakamani Jumatatu 21 Julai, 2025 kujibu mashtaka ya kufanikisha ugaidi. Maafisa wa upelelezi wa jinai walisema kuwa Mwangi alipatikana na risasi...
Rais William Ruto amewashauri wazazi kote nchini kuhakikisha wanawalekuza vijana wao katika mazingira ya maadili na uwajibikaji na wala sio kuwasukuma katika maisha ya kuhangaika. Rais...
Maafisa wa polisi kaunti ya Kilifi wamewaokoa watu wanne katika kijiji cha kwa Binzaro kilomita 6 kutoka Shakahola. Kamishna wa kaunti ya Kilifi Josephat Biwot alisema...