Viongozi wa Chama tawala cha UDA kaunti ya Kilifi wamekutana kuangazia mipango na mikakati ya kuimarisha chama hicho mashinani. Kati ya masuala yaliyojadiliwa ni pamoja...
Mahakama ya Kilifi imehairisha kesi ya mshukiwa wa wizi wa kimabavu Joel Kalume Diga hadi tarehe 30 mwezi Machi mwaka huu ambapo kesi hiyo itasikizwa. Hakimu...
Iran inatarajiwa kumtangaza kiongozi mkuu mpya atakayechukua nafasi ya Ayatollah Ali Khamenei aliyeuawa wiki moja iliyopita kufuatia mashambulizi ya Marekani na Israel. Mmoja wa wajumbe wa...
Waziri wa mambo ya nje wa taifa la China Wang Yi ametahadharisha kuhusu hatari ya China kutokuelewana na Marekani, akisema hatua hiyo itapelekea kushughudiwa kwa migogoro...
Seneta Maalum Miraj Abdillahi amewataka wakaazi wa kaunti ya Mombasa kuchukua tahadhari ya mapema na kujiepusha na athari za mvua kubwa ambayo tayari zimesababisha vifo na...