Maafisa wa sekta ya uchukuzi wameahirisha mgomo wao baada ya mazungumzo yaliyoongozwa na Rais William Ruto katika ikulu ya Mombasa. Maafisa hao wakiongozwa na rais wa...
Mahakama ya Shanzu imemnyima dhamana mshukiwa wa ulanguzi wa watoto zaidi ya 20. Mahakama imeagiza mshukiwa huyo kuzuiliwa rumande ili kuwawezesha maafisa wa polisi kukamilisha uchunguzi...
Imebainika kuwa idadi kubwa ya wanawake na vijana katika kaunti ya Kilifi bado hawajahamasishwa vilivyo kuhusiana na masuala ya uongozi, uundaji wa bajeti na sera katika...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imetoa onyo kali kwa wanaoendeleza unyakuzi wa ardhi za umma, ikisema watakabiliwa kikamilifu. Kamishna wa kaunti ya Kilifi David Wanyonyi...
Mahakama ya Kilifi imewanyima dhamana washukiwa wawili wa ulanguzi wa Mihadarati baada ya kukana mashtaka dhidi yao. Hakimu wa Mahakama hiyo Ivy Wasike, ameagiza wawili hao, Esha...