Baada ya serikali na wadau wa sekta ya uchukuzi nchini kufikia makubaliano ya kusitishwa kwa mgomo wa kitaifa, sasa mikakati ya kupunguzwa kwa bei ya mafuta...
Mahakama ya Kilifi imemwachilia kwa dhamana ya shilingi laki mbili mshukiwa wa wizi wa kimabavu baada ya kukanusha mashtaka dhidi yake. Hakimu wa Mahakama hiyo Ivy...
Maafisa wa kukabiliana na ulanguzi wa dawa za kulevya kaunti ya Kilifi wafanya oparesheni ya kiusalama na wamewatia nguvuni watu wawili wanaoshukuwa kuhusika na biashara hiyo...
Wanaharakati wa kutetea haki za kibinadamu katika eneo la Pwani wamefanya maandamano ya amani wakilalamikia hali mbovu ya barabara ya Mombasa-Malindi. Wanaharakati hao wanasema ukarabati wa...
Serikali imekosoa maandamano yaliyoandaliwa siku ya Jumatatu Mei 18,2026 kote nchini ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Serikali imesema haitakubali baadhi ya watu kuendelea...