Vita vya Iran vinaweza kuisha hivi karibuni au kuendelea kwa miezi kadhaa licha ya tamko la rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango ya kumaliza vita...
Rais Donald Trump amesema kwamba Marekani itaondoka Iran hivi karibuni na hatua za kijeshi za nchi hiyo zitakomeshwa ndani ya wiki mbili au tatu zijazo. Rais...
Bunge la Israel limepitisha sheria mpya inayotoa adhabu ya kifo kwa Wapalestina watakaopatikana na hatia ya mashambulizi ya mauaji dhidi ya Waisrael. Sheria hiyo ilipitishwa kwa...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imeanza rasmi zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya kote nchini, huku ikilenga kuwasajili wapiga kura milioni 6.2, kabla...
Zoezi endelevu la usajili wa wapiga kura kote nchini limeng’oa nanga huku maafisa wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC wakilenga idadi kubwa ya...
Ripoti iliyotolewa na Wizara ya elimu nchini kuhusu vyuo vya kiufundi vya TVETs ilibaini kwamba idadi ya wanafunzi wanaojiunga na vyuo hivyo bado iko chini mno....
Shirika la kimazingira la Center for Justice Governance and Environmental Action limetoa makataa ya siku 30 kwa serikali kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya juu wa kulipa...
Katibu katika Wizara ya usalama wa ndani Raymond Omollo amesema serikali imefanikiwa kutekeleza asilimia 55 ya mageuzi yanayoendelea ya kitaifa katika idara ya polisi nchini. Omollo...
Idara ya misitu kaunti ya Kwale imesema kiwango cha misitu kimefikia asilimia 13.9, ikisisitiza kwamba bado kiwango hicho kiko chini mno ikilinganishwa na kiwango cha miti...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imesema kufikia sasa, imesajili wakenya 250, 391 na kufikia idada ya wakenya waliosajili kuwa 22,352,923. Kamishna wa Tume...