Madereva nchini sasa watalazimika kulipa zaidi kwa mafuta baada ya Mamlaka ya kudhibiti bei ya Petroli nchini EPRA kutangaza ongezeko la bei za mafuta kwa kipindi...
Madereva nchini wanaendelea kulalamikia masaibu ambayo wanayapitia baaada ya serikali kutangaza kupunguza viwango vya ubora wa mafuta yanayouzwa nchini, kwa kuruhusu madini hatari ya Sulphur kuongezwa...
Zoezi la upigaji kura katika eneo bunge la Emurua Dikkir linaendelea vyema katika vituo 94 vya kupigia kura na zoezi hilo linatarajiwa kutamatika mwendo wa saa...
Kamishna wa kaunti ya Kilifi David Wanyonyi amethibitisha kuwa zaidi ya vijana 70 ambao wanahusishwa na makundi ya kihalifu wametiwa mbaroni katika msako ambao unaendelezwa na...
Maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya mjini Mombasa wamefanikiwa kuwakamata washukiwa wawili wanaodaiwa kuhusika na usambazaji wa mihadarati yenye thamani ya shilingi milioni...
Baraza la makanisa nchini NCCK limetoa mapendekezo 7 kwa serikali za kaunti na serikali ya kitaifa, likitaka mapendekezo hayo kutekelezwa mara moja. Kati ya mapendekezo hiyo...
Mshirikishi wa Shirika la Msalaba mwekundu kaunti ya Kilifi, Kauthar Ali amesema kuwa mila na desturi za kimijikenda zimekuwa kizingiti kikuu katika vita dhidi ya dhulma...
Maafisa wa Polisi katika kituo cha Mtwapa katika kaunti ya Kilifi wamefanikiwa kumkamata mshukiwa mmoja wa wizi na kunasa mali mbalimbali zinazoshukiwa kuibwa. Kukamatwa kwa mshukiwa...
Kundi la Mombasa Republican Council –MRC limeshinikiza idara ya usalama kuwaachilia huru wanachama wake waliokamatwa. MRC inadai hatua hiyo inakiuka uamuzi wa Mahakama uliotambua kundi hilo...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi inapoendeleza mikakati ya kukabiliana na magenge ya kihalifu maarufu ‘Mawoza’, visa vya watu kuvamiwa vingali vinaendelea kushuhudiwa mjini Malindi kaunti...