Serikali ya kaunti ya Kilifi imedai kwamba imetenga shilingi milioni 10 kusimamia huduma za afya kwa wajane Gavana wa Kilifi Gideon Mung’aro aliwataka wajane na wanawake...
Serikali imepiga marufuku uagizaji wa dawa za Antibiotiki na kusafirishwa na wahudumu wa bodaboda katika makaazi ya umma, ikisema mwenendo huo hautakubalika. Waziri wa Afya nchini...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imeapisha rasmi bodi ya kwanza ya hazina ya fedha ya Mombasa, hatua inayoweka msingi wa utekelezaji wa sheria ya hazina hiyo...
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai nchini (DCI) wamemtia mbaroni mshukiwa mmoja katika eneo la Kazandani, kaunti ya Mombasa kwa tuhuma za matumizi yasiyofaa ya...
Mwezi wa Juni huwa umetengwa kimataifa kama mwezi wa kuhamasisha jamii kuhusu afya ya akili, huku kukiwa na msisitizo maalum wa Afya ya Akili kwa Wanaume...
Wafanyibiashara wa mitumba katika soko la Diani, kaunti ya Kwale, wamelazimika kufunga biashara zao kutokana na kudorora kwa shughuli za kibiashara katika kipindi hiki cha msimu...
Baraza la Wazee wa jamii ya Sekuye eneo la Moyale kaunti ya Marsabit limejitokeza na kulalamikia kuharibiwa kwa mazingira ya maeneo yao hasa katika kijiji cha...
Waziri wa usalama wa ndani Kipchumba Murkomen, ametoa wito wa kuimarishwa kwa ushirikiano kati ya washirika na wadau ili kuimarisha usalama wa baharini na maziwa makuu....
Mamia ya waendesha baiskeli walijumuika na viongozi wa kaunti ya Mombasa pamoja na wadau wa sekta ya usafiri walijitokeza kuonyesha dhamira ya kuendeleza miundombinu salama ya...
Wadau mbalimbali wa mazingira katika kaunti ya Kilifi waliungana katika chuo kikuu cha pwani kuadhimisha siku ya mazingira ulimwenguni, hafla ambayo ilianza na zoezi la upanzi...