Tabasamu na matumaini zimetanda miongoni mwa familia za watoto wenye uwezo maalum mjini Kilifi baada ya Shirika la Association for the Physically Disabled of Kenya kwa...
Kama njia mojawapo ya kuimarisha mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga, viongozi wa chuo Kikuu cha pwani kwa ushirikiano na Coco FM pamoja...
Mkuu wa mawaziri nchini Musalia Mudavadi amewataka wakenya kuzingatia taratibu zilizotolewa na Wizara ya afya nchini kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa virusi vya Ebola katika nchi...
Mahakama ya Kilifi imehairisha kesi inayomhusu mshukiwa wa unyakuzi wa ardhi ya thamani ya shilingi milioni 165 hadi tarehe 29 mwezi Mei mwaka huu. Armando Tanzini ambaye...
Viongozi wa Pwani wamekosolewa kwa kulifumbia macho suala la ulanguzi wa dawa za kulevya lililosababisha vijana wengi kuangamia kutokana na matumizi ya dawa za kulevya. Kulingana...
Chama cha Jubilee kimemkosoa vikali Katibu Mkuu wa chama cha UDA, Hassan Omar, kufuatia matamshi yake yaliyomhusu Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta. Viongozi wa Jubilee wakizungumza katika mkutano wa...
Zaira ya rais William Ruto ya siku tano katika ukanda wa Pwani imeonekana kuwa na ahadi nono kwa wenyeji huku zaidi ya takribani shilingi bilioni 85...
Maafisa wa sekta ya uchukuzi wameahirisha mgomo wao baada ya mazungumzo yaliyoongozwa na Rais William Ruto katika ikulu ya Mombasa. Maafisa hao wakiongozwa na rais wa...
Mahakama ya Shanzu imemnyima dhamana mshukiwa wa ulanguzi wa watoto zaidi ya 20. Mahakama imeagiza mshukiwa huyo kuzuiliwa rumande ili kuwawezesha maafisa wa polisi kukamilisha uchunguzi...
Imebainika kuwa idadi kubwa ya wanawake na vijana katika kaunti ya Kilifi bado hawajahamasishwa vilivyo kuhusiana na masuala ya uongozi, uundaji wa bajeti na sera katika...