Wakaazi pamoja na Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu katika Kaunti ya Kilifi wameandamana wakitaka idara ya usalama kuharakisha uchunguzi kuhusu mauaji ya kinyama ya mtoto...
Bunge la kitaifa linatarajiwa kujadili hoja ya makadirio ya bajeti ya kitaifa ya mwaka wa 2026/2027 ya shilingi trilioni 4.79. Kiongozi wa wengi katika bunge la...
Bwiwi la simanzi limeghubika wakaazi wa kijiji cha Kwa Nzai eneo la Mwezang’ombe kaunti ya Kilifi mapema leo baada ya msichana mwenye umri wa miaka 7...
Walimu tarajali wa sekondari msingi kaunti ya Kilifi wameandamana kuishinikiza serikali kuu kupitia tume ya kuajiri walimu nchini,TSC kutekeleza agizo la mahakama la kuwapa ajira ya...
Taasisi ya utafiti wa matibabu nchini KEMRI imezindua mradi unaolenga kuchunguza athari za chembechembe ya sumu ya Aflatoxin na athari za mabadiliko ya tabia nchi miongoni...
Idara ya utabiri wa hali ya hewa kanda ya Pwani imetoa tahadhari ya kushuhudiwa kwa mvua kubwa, kuanzia wiki ijayo ya milimita 20 kwa saa 24....
Tume ya huduma ya Mahakama nchini (JSC) imemteua Jaji Mohammed Abdullahi Warsame kuwa Jaji wa Mahakama ya Upeo. Mwenyekiti wa Tume hiyo ambaye pia ni Jaji mkuu nchini Martha...
Mahakama ya Kilifi imemnyima dhamana mshukiwa wa wizi wa kimabavu Amani Mohamed ili kutoa nafasi kwa maafisa wa upelelezi kukamilisha uchunguzi wao. Hakimu wa Mahakama hiyo...
Katika kijiji cha Roka kumekuwa na pilkapilka za ujenzi wa nyumba ya kisasa ambao umetokea kivutio cha wengi kwani unafuatiliwa sana katika mitandao ya kijamii. Shughuli...
Visa vya mauaji ya Wazee kwa tuhma za uchawi vimetajwa kupungua kwa asilimia kubwa. Mwenyekiti wa kituo cha Kaya Godoma Emmanuel Katana amesema eneo la Mrima...