Wafanyabiashara wa korosho katika soko la Oloetiptip mjini Kilifi kaunti ya Kilifi wanairai serikali kushughulikia suala la kupanda kwa bei ya mafuta. Kulingana na wafanyibiashara hao...
Wizara ya Afya nchini imewarai wakenya kuchukua tahadhari ya mapema msimu huu wa mvua na kutibu maji wanayotumia kila siku ili kuepuka kukumbwa na magonjwa mbalimbali....
Kufuatia sakata ya uagizaji wa mafuta ghushi nchini, sasa Muungano wa upinzani umetishia kufanya maandamano kuanzia wiki ijayo. Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha Jubilee Vincent...
Mamlaka ya usafiri wa majini nchini (KMA), imethibitisha kupokea taarifa kuhusu kuzuiliwa kwa meli yenye bendera ya Kenya katika nchi ya Tanzania. Kupitia taarifa kwa vyombo...
Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amerejea tena kaunti ya Kilifi ndani ya kipindi cha mwezi mmoja kuendeleza ziara yake ya kukagua miradi ya maendeleo katika kanda...
Naibu Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Fahima Araphat amesema zoezi la usajili wa wapiga kura wapya linaendelea vyema licha ya changamoto...
Maafisa wa kitengo cha kupambana na dawa za kulevya eneo la Pwani wamemkamata mshukiwa mmoja raia wa kigeni anayehusishwa na mtandao wa usafirishaji wa dawa za...
Mamlaka ya kudhibiti bei ya mafuta nchini EPRA imetangaza kupunguzwa kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Taa humu nchini. Kaimu Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka...
Serikali imeendelea kujitetea kuhusu mpango wa uagizaji wa mafuta wa serikali kwa serikali maarufu kama G to G, huku viongozi wa kisiasa wakitoa mitazamo kinzani kuhusu...
Wakenya wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura katika zoezi endelevu lililoidhinishwa na Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, inatia matumaini ya Tume hiyo kufikia malengo...