Mamlaka ya Kilimo na Chakula nchini AFA, imekuwa mstari wa mbele kuhakikisha taifa linaboresha mazao yake na kuchangia uzalishaji wa chakula nchini. Hatua hii imechangia zaidi...
Afisa wa usajili wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi , John Mwawasi amesema wanapania kusajili...
Wafanyabiashara wa soko la kwa Charo wa mae mjini kilifi kaunti ya Kilifi, wanaitaka serikali ya kaunti kuwaondoa wachuuzi wanaoendeleza biashara zao nje ya Soko hilo....
Mzozo kuhusu ujenzi wa barabara eneo la Jaribuni katika kaunti ya Kilifi unanukia tena miezi kadhaa baada ya wakaazi eneo hilo kufanya maandamano kulalamikia hali mbaya...
Mahakama ya Kilifi imemuachilia kwa dhamana ya shilingi laki tano na mdhamini wa kiasi sawa na hicho George Mweni Muramba anayekabiliwa na shtaka la unyakuzi wsa...
Zaidi ya watalii 600 wamewasili katika bandari ya Mombasa baada ya meli ya kifahari ya Azamara Onward kutia nanga katika bandari hiyo. Meli hiyo iliyotokea bandari...
Maafisa wa polisi katika kaunti ya Kwale wameanzisha uchunguzi kuhusu tukio la mauaji ya Wanawake wanne, ndani ya vyumba za wageni katika meneo ya Samburu, Taru...
Mvua ambayo inaendelea kunyesha nchini imesababisha baadhi ya barabara zilizoko mashinani katika wadi ya Sokoni eneo bunge la Kilifi Kaskazini kaunti ya Kilifi kutopitika kwa urahisi....
Huenda maafisa wa polisi wakutumia nguvu kupita kiasi katika kukabiliana na wahalifu ama wale wanaolenga kuzua vurugu na fujo mashinani. Idara ya usalama nchini imesisitiza kwamba...
Mswada wa marekebisho ya Katiba wa mwaka 2026 na sheria za uchaguzi umewasilishwa katika bunge la Seneti. Mswada huo unalenga kufanyia marekebisho kipengele cha Katiba cha...