Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka 15 gerezani Jackson Chiwai baada ya Mahakama kumpata na hatia ya kumnajisi mtoto mdogo wa umri wa miaka 5....
Bodi ya usimamizi katika Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Kenya (KAA) imemteua Moses Wekesa kuwa Mkurugenzi mkuu mpya. Uamuzi huu umefuatia mchakato mkali na wa ushindani...
Tume ya maadili na kupambana na ufisadi EACC imesema imefaulu kurejesha shilingi bilioni 7.8 zilizoporwa. EACC kwenye taarifa yake kwa vyombo vya habari, imeeleza kwamba fedha...
Wafanyibiashara kuuza matunda aina ya Nanasi kaunti ya Kilifi wanasema biashara ya matunda hayo inazidi kudorora msimu huu ikilinganishwa na msimu uliopita. Kulingana na wafanyibiashara hao,...
Wakaazi wa kaunti ya Kilifi wametishia kuandamana hadi katika ofisi za Gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Mung’aro kufuatia uhaba maji uliyodumu kwa takribani mwezi mmoja...
Waziri wa Kawi nchini Opiyo Wandayi ameweka wazi kwamba hatajiuzulu licha ya shinikizo kutoka kwa baadhi ya viongozi wa kisiasa na mashirika ya kijamii, kumtaka ajiuzulu....
Kaunti ya Lamu imeandaa Awamu ya Pili ya mkutano wa ngazi ya juu kwa ajili ya kuangazia mikakati ya kuangamiza ukame ambayo ni hatua muhimu kuelekea...
Huenda mpango wa serikali jumuishi uliobuniwa na rais William Ruto na aliyekuwa Kinara wa chama cha ODM hayati Raila Odinga ukavunjika iwapo masuala ibuka yaliyowasilishwa na...
Maafisa wa Polisi kaunti ya Mombasa wanachunguza tukio la wizi dhidi ya mtalii wa kigeni lililotokea katika eneo la Nyali Kulingana na ripoti ya maafisa wa...
Idara ya usalama eneo la Likoni kaunti ya Mombasa imesema inachunguza kifo cha mwanamke mmoja aliyefariki katika mtaa wa senti kumi. Mkuu wa polisi wa Likoni Joseph...