Huenda wakenya wakalazimika kuingia mifukoni mwao hata zaidi ili kugharamia bajeti ya taifa ya mwaka wa kifedha wa 2025/2026 ambayo inakadiriwa kufikia shilingi trilioni 4.6. Bajeti...
Afisa mkuu mtendaji wa Mamlaka ya Bandari nchini (KPA) Kapteni William Ruto, amenusurika baada ya kuhusika kwa ajali mbaya ya barabarani iliyosababisha kifo cha binti yake,...
Kiwango cha mashindano ya kila mwaka ya mbio za jahazi ambayo huandaliwa katika mkono wa bahari wa Old Ferry mjini Kilifi, sasa kitapanda hadhi na kuwa...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imetangaza kipindi cha siku 45, kuanzia tarehe 1 Aprili, kwa wamiliki wa ardhi kulipia ada zao za umiliki wa ardhi (land...
Halmashauri ya kupambana na ukame nchini NDMA ikishirikiana na serikali ya kaunti ya kwale imewakabidhi rasmi wakaazi Taru wadi ya Macknon mradi wa maji wa Taru-Roka-Egu-Kwa...
Kenya sasa inakabiliwa na hatari ya kupanda kwa bei za mafuta, huku mgogoro unaoendelea mashariki ya Kati ukianza kuathiri bei nchini. Serikali sasa imeonya kuwa kufikia...
Mradi wa unyunyizaji maji wa Bura katika kaunti ya Tanariver umeanza kushuhudia mvutano kuhusu umiliki wa ardhi. Hii ni baada ya wakaazi wa eneo hilo kuitaka...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imebuni jopo la kuchunguza malimbikizi ya madeni ambayo yamedumu kwa muda mrefu bila ya wanakandarasi kulipwa zabuni zao. Jopo hili lililoteuliwa...
Vita vya Iran vinaweza kuisha hivi karibuni au kuendelea kwa miezi kadhaa licha ya tamko la rais wa Marekani Donald Trump kuhusu mpango ya kumaliza vita...
Rais Donald Trump amesema kwamba Marekani itaondoka Iran hivi karibuni na hatua za kijeshi za nchi hiyo zitakomeshwa ndani ya wiki mbili au tatu zijazo. Rais...