Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma, DPP, amefunga rasmi kesi ya nne na ya mwisho inayohusiana na mauaji ya halaiki ya watu katika msitu wa Shakahola,...
Idara ya usalama nchini imethibitisha kwamba baadhi ya mikutano ya kisiasa inayoandaliwa nchini, wahusika wamekuwa wakikosa kuwaarifu maafisa wa usalama. Msemaji wa idara ya polisi nchini...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC, imepiga marufuku matumizi ya simu za rununu kwenye eneo maalum la upigaji kura wakati wa zoezi la uchaguzi....
Tume ya huduma za Mahakama nchini JSC imetangaza kupokea maombi ya wakenya wanaotaka kujaza nafasi iliyowachwa wazi ya Jaji wa Mahakama ya Upeo Mohammed Ibrahim. Katika...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC inanuia kuongeza vituo vya kupigia kura hadi 55,393 katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 kutoka vituo 46,229 mwaka...
Mahakama ya Kilifi inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya uharibifi wa msitu wa Arabuko Sokoke inayomkabili mwanaume wa umri wa miaka 53. Katika kesi hiyo, mshukiwa...
Serikali imesema imeanzisha mikakati maalum ya kuwanusuru Wakenya wanaodaiwa kulaghaiwa na mawakala bandia na kujiunga na jeshi la Urusi kupigana vita dhidi ya Ukraine. Katibu wa...
Jaji mkuu mstaafu David Maraga ameishtumu serikali ya kitaifa kwa kuendeleza ufisadi kupitia miradi hewa nchini. Akizungumza wakati wa mikutano yake ya kisiasa katika kaunti ya...
Mahakama Kuu imekataa kutoa amri ya muda yani Conservatory Order ili kuzuia mpango wa ubinafsishaji wa taasisi za umma ikiwemo Shirika la Kenya Pipeline kufuatia ombi...
Kesi ya ulaghai wa shilingi milioni 1.2 inayomkabili mshukiwa Emmanuel Kithi imewasilishwa katika Mahakama ya Kilifi. Mshukiwa Emmanuel Kithi anadaiwa kumlaghai mlalamishi Moses Mwafondo kwa kumuahidi...