Rais William Ruto na Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja wametia saini makubaliano ya kihistoria ya ushirikiano kwa ajili ya kuboresha jiji la Nairobi. Mkataba...
Serikali ya kaunti ya Kilifi imefutilia mbali baadhi ya miradi iliyokwama ambayo ilikuwa imekabidhiwa Wanakandarasi na kushindwa kuitekeleza. Hii ni baada ya Mkaguzi mkuu wa hesabu...
Shirika la kutetea haki za binadamu la Vocal Africa limeeleza wasiwasi wake kuhusu kukamatwa na kuendelea kuzuiliwa kwa Mwabili Mwagodi, katika kituo cha polisi cha Bandari kaunti ya...
Kinara wa Chama cha Democratic Party (DP) Justine Muturi ameibua wasiwasi kuhusu uwezekano wa kuhitilafiana na sajili ya wapiga kura kufuatia makubaliano kati ya tume huru...
Ulimwengu unaadhimisha Siku ya Redio Duniani huku Wanahabari eneo la Pwani wakiungana na mataifa mengine ulimwenguni kusherehekea siku hiyo. Siku hii muhimu ya kutambua nafasi muhimu...
Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni mbili kwa ajili ya fidia ya ardhi na shilingi milioni 838 kwa kuhamisha wafanyabiashara katika eneo la Mtwapa ili kufanikisha...
Serikali inasema itawachukulia hatua walimu ambao walikosa kuweka wazi idadi ya wanafunzi shuleni mwao, ikibaini kwamba shule za humu nchini zina wanafunzi hewa laki tisa. Wizara...
Mahakama Kuu imesimamisha kwa muda agizo la kuondolewa afisini kwa Katibu Mkuu wa chama cha ODM Edwin Sifuna. Katika uamuzi uliotolewa Alhamis 12 2026, Mahakama ilitoa...
Serikali ya kitaifa imepanga kupanua mradi wa kilimo cha chakula wa Galana Kulalu kama sehemu ya juhudi za kuimarisha usalama wa chakula nchini ili kusaidia zaidi...
Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ametimuliwa kutoka wadhifa wake kama Katibu mkuu wa Chama cha ODM na nafasi yake kuchukuliwa na Catherine Omanyo. Uamuzi huu umeafikiwa...