Serikali imeongeza juhudi za kuimarisha uaminifu, utawala bora na maendeleo ya kidijitali nchini, ikilenga kuhakikisha matumizi salama ya mtandao, yakuaminika na yanayowanufaisha wananchi wote. Akizungumza jijini...
Rais William Ruto ameingilia kati kuokoa uhusiano baina ya chama cha ODM na UDA wiki moja baada ya kamati kuu ya chama cha Odm kuzua tetesi,...
Awamu ya pili ya zoezi la uchaguzi wa viongozi wa mashinani wa chama cha UDA imefanyika katika kaunti 18 kote nchini. Zoezi hilo lilifanyika katika kaunti...
Kijiji cha Tezo eneo bunge la Kilifi Kazkazini kaunti ya Kilifi hali ilikuwa tofauti kwa familia ya Marehemu Mary Mutisya baada ya kuzuka mvutano wa kifamilia...
Kenya inatarajia kusambaza neti za kuzuia Mbu milioni 10 kwa wananchi mashinani huku Wizara ya Afya nchini ikiimarisha juhudi za kudhibiti maambukizi na vifo vinavyotoka na...
Operesheni kali ya kijeshi inayoendelea nchini Somalia ambapo zaidi ya wanamgambo 33 wa kundi la Alshabab wameuawa katika eneo la Shabelle nyanda za chini za Jubaland....
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka 31 gerezani Collins Hamis baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi mtoto mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo...
Idara ya utabiri wa hali ya hewa nchini imetangaza kuendelea kushuhudiwa kwa vipindi vya mvua katika sehemu mbali mbali nchini kuanzia siku ya Jumatano Aprili 22...
Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imesema haitaongeza mda wa usajili wa wapiga kura kote nchini. Makamishna wa Tume hiyo wameshikilia kwamba wakati muda...
Serikali imewaonya wakenya hasa Vijana wa Gen Z kutokubali kushurutishwa na Wanasiasa na kushiriki maandamano ya kupinga kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Msemaji wa serikali...