Gavana wa kaunti ya Kirinyaga Ann Waiguru ameomba msamaha kwa niaba ya serikali kwa wakaazi wa Mlima Kenya kufuatia kubanduliwa mamlakani kwa aliyekuwa naibu rais Rigathi...
Licha ya Afrika kuwa na takribani asilimia 60 ya ardhi isiyotumika kwa shughuli za Kilimo bado inakabiliwa na pengo kubwa la ufadhili wa Kilimo kwa zaidi...
Mahakamani ya Shanzu imeagiza kuzuiliwa kwa siku 14 kwa mshukiwa wa mauaji ya mtoto Keziah Matuki, aliyekuwa na umri wa miaka 7. Mahakama imetoa agizo hilo...
Kenya na Ufaransa zimetia saini makubaliano ya kuanzisha ubia wa usafirishaji na maendeleo ya miundombinu ya bandari inayokadiriwa kuwa takribani shilingi bilioni 104. Makubaliano mengine yanahusu...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imethibitisha kumtia nguvuni mshukiwa wa mauaji ya mtoto msichana Keziah Matuki, aliyekuwa na umri wa miaka 7 kutoka kijiji cha...
Ombi la kikatiba limewasilishwa katika Mahakama Kuu ya Kiambu kupinga uhalali wa Mamlaka ya Afya ya Jamii (SHA), mifumo ya afya ya kidijitali na mipango ya...
Mahakama ya Kilifi imemhukumu kifungo cha miaka 25 gerezani mwanaume mmoja ambaye ni mzee wa umri wa miaka 69 baada ya kupatikana na hatia ya kumnajisi...
Idadi kubwa ya familia zilizokuwa zikiishi karibu na Mto Tana katika kaunti ya Tana river zimeanza kuhama ili kutafuta maeneo salama ya kuishi kufuatia athari za...
Wakfu wa George Kithi unaoimarisha jamii kupitia kufadhili wa masomo ya wanafunzi werevu wanaokabiliwa na changamoto za ukosefu wa karo, misaada ya matibabu kwa wagonjwa kutoka...
Mashirika mbali mbali ya kuangazia maslahi ya kijamii wameendelea kukongamana mjini Malindi katika kaunti ya Kilifi kujadili masuala ya haki na sheria miongoni mwa makundi tofauti...