Idara ya usalama kaunti ya Taita taveta imeandaa kongamano maalum ili kujadili namna ya kukomesha visa vya dhuluma za kijinsia na kingono kaunti hiyo. Kongamano hilo...
Tume ya huduma za Mahakama nchini JSC imeshtumu vikali tabia inayoendelea kusheheni nchini ya kuwashambulia hadharani majaji kuhusu uamuzi wanaoutoa wa dhamana kwa washukiwa wa kesi...
Mbunge wa Likoni Mishi Mboko ameitaka serikali kuhakikisha inakomesha mauaji ya kiholela na unyanyasaji wa kingono dhidi ya Wanawake nchini. Akizungumza na Wanahabari, Mishi alisema ni jambo...
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta kupitia Wizara ya Afya inaendelea kutoa mafunzo kwa wahudumu wa afya wa nyanjani ili kuwawezesha kutekeleza majukumu yao bila vikwazo....
Waziri wa masuala ya kijamii na ukuzaji wa talanta katika serikali ya kaunti ya Kwale, Francisca Kilonzo ametoa changamoto kwa vijana hasa wa Kike kwenye kaunti...
Zaidi ya wauguzi 700 kutoka kaunti ya Kilifi wamesitisha mgomo wao baada ya kufanya kikao na gavana wa kaunti ya Kilifi Gideon Maitha Mung’aro. Katika kikao...
Wakenya walio kwenye hatari ya kuambukizwa virusi vya HIV huenda wakaanza kupokea shindano mpya ya kudhibiti maambukizi kufikia januari mwakani. Hii ni baada ya shirika la...
Wanajeshi watatu wa Kenya wameuawa, huku wengine saba wakiwachwa na majeraha mabaya mwilini, baada ya gari walimokuwa wakisafiria kukanyanga kilipuzi eneo la Badaah, kaunti ya Lamu....
Baadhi ya wakaazi kutoka kaunti ya Mombasa wamepinga matamshi ya Rais William Ruto kuwa viongozi wa kidini wamekuwa mstari wa mbele kuwachochea vijana dhidi ya serikali...
Katibu Mkuu wa Muungano wa walimu wakuu wa shule za upili nchini KESSHA Abdinoor Haji ameonya kuhusu uwezekano wa shule kufungwa mapema iwapo pesa za kugharimia...