Familia moja eneo la Junju kaunti ya Kilifi inalilia haki baada mtoto wao kwa jina Anestine Dzidza Tunje mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 wa Gredi...
Mahakama ya Kilifi imemnyima dhamana mwanaume mmoja anayekabiliwa na shtaka la unajisi wa mtoto wa umri wa miaka 11 kisha kutishia kumuua iwapo angesema kuhusu kitendo...
Rais William Ruto amesisitiza kuwa serikali yake inawekeza kwa kiwango kikubwa katika sekta muhimu za elimu na afya ili kuhakikisha maisha bora kwa wananchi. Akizungumza katika...
Shirika la Kilifi Citizen Forum limekiri kwamba ukosefu wa ajira kwa vijana kaunti ya Kilifi ndio chanzo cha kuchipuka kwa visa vya mauaji ya wazee kwa...
Idara ya usalama kaunti ya Kilifi imewarai wakaazi kuwa waangalifu dhidi ya Wachungaji potovu waliojitokeza na kuwapotosha wananchi kwa misingi ya kidini. Afisa mkuu wa idara...
Zoezi endelevu la kusajili wapiga kura wapya limeanza rasmi kote nchini huku idadi kubwa ya vijana wakijitokeza katika zoezi katika maeneo mbalimbali nchini. Mjini Kilifi katika...
Naibu Rais Prof Kithure Kindiki ameagiza maafisa wa serikali na wale wa kaunti kuja pamoja na kutatua changamoto zinazoikabili mamlaka ya afya ya jamii nchini SHA...
Katibu Mkuu wa chama cha Jubilee Jeremiah Kioni amedai kuwa aliyekuwa naibu Rais Rigathi Gachagua anafanya kazi na rais William Ruto kisiri. Kulingana na Kioni, Gachagua...
Mbunge wa Likoni kaunti ya Mombasa Mishi Mboko ametoa wito kwa Wakenya kujiepusha na mambo maovu pamoja na kauli ambazo huenda zikaichafulia jina taifa la Kenya...
Mgombea wa nafasi ya ubunge wa Magarini kaunti ya Kilifi kwa chama cha Democracy for Citizens Party DCP Furaha Chengo Ngumbao maarufu Kalama Wehu amejiuzulu kutoka...