Idara ya ujasusi nchini NIS imetoa ripoti yake kuhusu suala la usalama na kuweka wazi kwamba zaidi ya wakenya elfu moja wanashiriki katika vita kwenye mataifa...
Serikali imesema imelipa bili zote ambazo hazikuwa zimelipwa kwa Wanakandarasi wa barabara, ambazo zimefikia shilingi bilioni 177 za miradi ya tangu mwaka wa 2020. Naibu Rais...
Halmashauri ya bandari nchini (KPA), imeimarisha ushirikiano wake na kampuni ya kimataifa ya usafirishaji kwa njia ya bahari, Maersk, katika juhudi za kuboresha huduma na kuongeza...
Kamishna wa kaunti ya Mombasa Mohamed Noor amewahakikishia wakaazi wa Mombasa usalama wa kutosha msimu huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa waislamu pamoja na mfungo...
Winga machachari wa taifa la Uingereza Bukayo Saka ametia wino mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Arsenal ya London Kaskazini. Mkataba huo mpya...