Mahakama ya Kilifi imeagiza kukamatwa kwa washukiwa watatu akiwemo Wakili Devison Liano Kazungu, ambaye amekuwa akihudumu bila vibali halali pamoja Karani wake Hersi Mathius Kahindi na Lawrence...
Uchunguzi wa ajali ya ndege aina ya Helkopta iliyowaua watu sita akiwemo Mbunge wa Emurua Dikirr Johana Ng’eno umeanza rasmi huku wachunguzi wakifika katika eneo la...
Inspekta Jenerali wa Polisi nchini Douglas Kanja amesema uchunguzi unaendelea ili kuwatambua mawakala matapeli waliowahadaa wakenya kujiunga na jeshi la Urusi kupigana vita dhidi ya Ukraine....
Serikali imetahadharisha wakenya kuwa makini hasa wanapoahidiwa ajira katika mataifa ya ughaibuni ili kuepuka kulaghaiwa au kujikuta katika hali hatarishi. Katibu katika Wizara ya Leba nchini...
Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ya umma, DPP, amefunga rasmi kesi ya nne na ya mwisho inayohusiana na mauaji ya halaiki ya watu katika msitu wa Shakahola,...