Kesi inayomhusu Mhubiri tata Paul Mackenzie na wenzake 92 imesikizwa katika Mahakama ya Mombasa, ambapo shahidi wa 28 na 29 wameeleza ushahidi wao Mahakamani. Shahidi wa...
Rais William Ruto amefanya mabadiliko kadhaa katika baraza lake la mawaziri na kuwateua watu wengine kushikilia nyadhfa hizo huku aliyekuwa Waziri wa utumishi wa umma nchini...
Mkufunzi wa Timu ya taifa Harambee stars Benni McCarthy amesema kwamba walikutana na mpinzani Bora Gabon katika mechi ya kufuzu kombe la Dunia ugani Nyayo siku...
Mwanaharakati wa kupambana na Mihadarati katika ukanda wa Pwani Famau Mohammed Famau amesema maeneo ya mijini yameoathirika zaidi na utumizi wa mihadarati ikilinganishwa na maeneo ya...
Mwakilishi wadi ya Sokoke kaunti ya Kilifi Thaura Mweni ameibua madai kwamba kuna vijana ambao walilipwa kima cha shilingi elfu 50 ili kuzua vurugu katika mkutano...
Wanaharakati wa maswala ya kiafya nchini wamehimiza umuhimu wa kuanzishwa kwa sera ambazo zitasaidia wagonjwa wa kifua kikuu yaani TB na virusi vya Ukimwi nchini ili...
Jopo la uteuzi wa Makamishna wa Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC limeanza rasmi awamu ya kwanza ya kuwahoji watu waliotuma maombi ya kujaza...
Baadhi ya wakaazi kaunti ya Kilifi wamemtaka gavana wa kaunti hiyo Gedion Mung’aro kulifanyia marekebisho baraza lake la mawaziri kwa madai ya kufeli kutekeleza wajibu wake...
Mbunge wa Ganze Kenneth Kazungu Tungule amesema tatizo kubwa ambalo linakumba eneo bunge hilo ni umasikini. Akizungumza kwenye kipindi cha Coco Asubuhi, Tungule amesema eneo bunge...
Waziri wa Elimu nchini Julius Migos amesema Bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imetoa shilingi bilioni 1.56, kwa wanafunzi wa vyuo vikuu na...