Idara ya usalama kaunti ya Kwale imewaonya wananchi dhidi ya kuchukua sheria mikono na kusababisha maafa katika jamii kwa kisingizio cha kuwaua wazee kwa tuhma za...
Rais William Samoei Ruto amewaongaza wakenya kuadhimisha sherehe za kitaifa za 63 za Madaraka katika kaunti ya Wajir. Hatua hii ni ya kihistoria kuwa kufanyika katika...
Mahakama Kuu nchini imesitisha kwa muda mpango wa serikali ya Marekani na Kenya wa kuanzisha kituo cha karantini cha Ebola humu nchini. Jaji wa Mahakama hiyo,...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande kwa siku 21 mwanamke mmoja anayekabiliwa na shtaka la kumuuwa mwanawe kwa kumzika akiwa hai. Hakimu wa Mahakama hiyo Charles...
Idadi kubwa ya wanawake na wasichana katika kaunti ya Kilifi bado hawajahamasishwa vilivyo kuhusu masuala ya afya ya uzazi na haki yao ya kupata huduma bora...
Serikali imethibitisha kwamba wanafunzi 16 wa shule ya upili ya wasichana ya Utumishi Girls Academy eneo la Gilgil kaunti ya Nakuru wameaga dunia na wengini 79...
Waumini wa dini ya kiislamu kote ulimwenguni wameungana pamoja kuswali swala ya Eid-ul-Adha katika maeneo mbalimbali. Eid-ul-Adha hukumbusha waumini wa dini ya kiislamu umuhimu wa umoja,...
Tabasamu na matumaini zimetanda miongoni mwa familia za watoto wenye uwezo maalum mjini Kilifi baada ya Shirika la Association for the Physically Disabled of Kenya kwa...
Kama njia mojawapo ya kuimarisha mazingira na kukabiliana na mabadiliko ya hali ya anga, viongozi wa chuo Kikuu cha pwani kwa ushirikiano na Coco FM pamoja...
Mahakama ya Kilifi imehairisha kesi inayomhusu mshukiwa wa unyakuzi wa ardhi ya thamani ya shilingi milioni 165 hadi tarehe 29 mwezi Mei mwaka huu. Armando Tanzini ambaye...