Vijana katika eneo bunge la Rabai kaunti ya Kilifi wamehimizwa kutumia talanta zao kikamilifu ili kujikimu kimaisha. Wakiongozwa na Samuel Mweni, vijana hao walisema kuwa idadi...
Maafisa tawala eneo la Malindi kaunti ya Kilifi wametoa wito kwa wachungaji wa eneo hilo kuyasajili makanisa yao kwenye afisi za utawala mara moja. Wakiongozwa na...
Kikosi cha voliboli kwa chipukizi Junior Strikers kimerejea nchini asubuhi ya leo kutoka Yaoundé, Cameroon, baada ya kutwaa kombe la Ubingwa wa Afrika kwa chipukizi kwa...
Ukosefu wa vitambulisho vya kitaifa pamoja na vyeti vya kuzaliwa ni changamoto inayoathiri shughuli ya usajili wa watu wanaoishi na uwezo maalum kaunti ya Kwale. Haya...
Waziri wa Michezo, Salim Mvurya, amesema kuwa Shirikisho la Soka la Kenya (FKF) litaanzisha maeneo maalum ya mashabiki jijini Nairobi kwa ajili ya kutazama mechi za...