Serikali ya kaunti ya Mombasa inalenga kuwekeza shilingi laki moja ili kunufaisha miradi ya mafunzo na ajira kwa vijana kujiendeleza kimaisha. Katibu katika Wizara ya biashara,...
Kinara wa Chama cha ODM Raila Odinga amependekeza fedha zote zinazosambaza kwa hazina ya NG-CDF na NGAAF, kufanywe marekebisho ili fedha hizo kusambazwa kwa serikali za...
Maafisa wa usalama kwa ushirikiano na wale Shirika la huduma kwa wanyamapori nchini KWS, wamewatahadhari wananchi kuwa waangalifu dhidi ya Wanyamapori hasa Ndovu katika eneo la...
Huku Kongamano la Ugatuzi awamu ya 12 likiendelea kaunti ya Homa Bay, bado Wakenya wanaendelea kutathmini iwapo malengo ya ugatuzi yanatimizwa. Yapo maswali mengi tu kuhusu...
Shirikisho la Voliboli nchini Kenya (KVF) mapema leo limetangaza kikosi cha mwisho cha wachezaji 14 wa Malkia Strikers kitakachoshiriki mashindano ya Dunia ya FIVB 2025 yatakayofanyika...