Kamati ya habari na mawasiliano bungeni ikiongozwa na mwenyekiti Wahome Wamatinga imefanya ziara yake katika uwanja wa maonyesho ya kilimo eneo la Nyali kaunti ya Mombasa....
Kilabu ya wanabenki KCB cha raga walitwaa ubingwa wa toleo la 59 la Christie Sevens baada ya kuwazidi nguvu Menengai Oilers kwa alama 26–7 katika fainali...
Safari ya Arsenal kutafuta ubingwa wa Ligi Kuu ya EPL ilianza kwa ushindi muhimu baada ya bao la Riccardo Calafiori kuipa ushindi wa goli 1-0 dhidi...
Mshambuliaji nyota Ryan Wesley Ogam kwa mara nyingine tena aliibuka shujaa, akifunga bao katika mechi ya pili mfululizo na kuisaidia Harambee Stars kuibwaga Zambia’s Chipolopolo 1-0...
Gavana wa kaunti ya Kericho Eric Mutai amebanduliwa mamlakani kupitia hoja ya kutokuwa na Imani naye. Jumla ya Wawakilishi wadi 33 kati ya 47 wa bunge...