Rais William Ruto amefanya uteuzi mpya na kumteua Claris Awour Onganga kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibinadamu KNCHR. Onganga anachukua nafasi...
Mwanasayansi na mkurugenzi mkuu wa shirika la kaungazia masuala ya Ndovu Jim Justus Nyamu pamoja na wanaharakati wa masuala ya wanyamapori wametoa wito kwa serikali pamoja...
Naibu gavana wa kaunti ya Taita Taveta Christine Kilalo amewataka wenyeji kuimarisha mazingira kwa kudhibiti utupaji wa taka kiholela hasa katika maeneo ya Taveta na Voi....
Utafiti uliyofanywa na kampuni ya Timely Kenya kuhusu uongozi na uwajibikaji wa serikali za kaunti umewaorodhesha baadhi ya magavana kama viongozi wachapa kazi. Utafiti huo umemuorodhesha...
Huku Ligi Kuu Uingereza ikifungua Milango rasmi hii leo usiku kilabu ya Arsenal watakabiliwa na mtihani wa mapema wa kuonyesha uwezo wao wa kupigania taji dhidi...