Wakulima wa korosho eneo la pwani wanalalamikia mazao duni kutokana na uvamizi wa wadudu kwenye mimea yao. Kulingana na wakulima hao, mmea huo ulivamiwa na wadudu...
Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) yaliendelea kwa michezo yenye ushindani mkubwa ambapo Uganda na Afrika Kusini walitoka sare ya...
Mkufunzi wa mchezo wa soka kaunti ya Mombasa Mbarak Swaleh maarufu Coaches amefikishwa katika Mahakamani ya Mombasa akikabiliwa na kosa la ulawiti wa mtoto wa kiume...
Mwanaume mmoja aliyekamatwa kwa tuhuma za kumtolea matusi ya kibaguzi mshambuliaji wa Bournemouth, Antoine Semenyo, wakati wa mechi ya ufunguzi ya Ligi Kuu ya Uingereza kwenye...
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu, imezuiwa kurushwa mubashara au kuchapishwa taarifa za ushahidi baada ya Mahakama kutoa...