Mahambulizi wa Liverpool Mohamed Salah ametangazwa Mchezaji Bora wa Wachezaji wa PFA (PFA Players’ Player of the Year) baada ya msimu wa kihistoria wa 2024-25 ambapo...
Serikali ya Kenya na Uganda zimeafikia azimio la ushirikiano ili kuboresha sekta ya utalii kwa kuuza sifa za vivutio vya utalii kupitia mfumo wa teknolojia na...
Rais William Ruto amebuni jopokazi la pamoja linaloshirikisha idara mbalimbali nchini na mashirika ya kiserikali ili kupiga jeki vita dhidi ya ufisadi nchini. Jopokazi hilo linahusisha...
Serikali imetangaza kwamba bodi ya mikopo ya elimu ya juu nchini HELB imesambaza shilingi bilioni 9.46 kwa wanafunzi 309,178 wa vyuo vikuu kote nchini. Waziri wa...
Wakaazi wa eneo la Chumani, Wadi ya Matsangoni Kaunti ya Kilifi, wameandamana kulalamikia kucheleweshwa kwa ujenzi wa barabara ya Malindi-Mombasa, wakidai kwamba barabara hiyo imekuwa hatari...