Maiti tano zimefukuliwa kutoka eneo la kwa Binzaro kaunti ya Kilifi, siku ya kwanza ya zoezi la kufukua maiti eneo hilo. Maafisa wa upelelezi wanaohusika na...
Wakaazi wanaoishi katika vijiji vya Mitsemereni, Goshi na Kavunzoni katika wadi ya Bamba eneo bunge la Ganze kaunti ya Kilifi wanalia ngoa kutokana na changamoto za...
Shirikisho la soka nchini FKF tawi la Mombasa limemsimamisha kwamda kocha wa vijana M’barak Swaleh katika shughuli zote za soka kufuatia madai unajisi yanayomuandama. Swaleh anatuhumiwa...
Shughuli ya kuyafukua makaburi eneo la Kwa Binzaro katika eneo la Chakama kaunti ya Kilifi imeanza rasmi siku ya Alhamisi Agosti 21, 2025. Ufukuzi huo ulicheleweshwa...
Wakaazi wa eneo la Mariani wadi ya Adu eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanaitaka serikali ya kaunti ya Kilifi kukamilisha mradi wa maji ulioanzishwa...