Kilabu ya Strathmore Leos mchezo wa raga waliwapiga viongozi wa misururu wa raga nchini kilabu ya KCB kwa alama 31-21 katika fainali kali ya Embu 7s...
Kocha wa timu ya taifa ya mpira wa voliboli ya akina dada, Malkia Strikers, Geoffrey Omondi, ana matumaini makubwa kuelekea mechi yao ya pili ya Kundi...
Kilabu ya Manchester United bado hawajapata ushindi wa Ligi Kuu msimu huu baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Fulham Jumapili, huku kilabu ya Everton ikiongozwa...
Viongozi wa makanisa wanamtaka rais William Ruto kutimiza vitisho vyake na kuwachukulia hatua wabunge anaodai wanahusika na visa vya ufisadi nchini. Baraza la makanisa nchini NCCK...
Maafisa wa upelelezi wa makosa ya jinai DCI, katika eneo bunge la Kisauni kaunti ya Mombasa wanasema wamewatia mbaroni washukiwa wawili wa uhalifu wa wizi wa...