Viongozi wa kijamii katika kaunti ya Kilifi wameeleza kuwa watoto wengi wanakosa kupata chanjo kufuatia dhana potovu zinazoenezwa miongoni mwa wanajamii. Wakiongozwa na Mumina Halaso, viongozi...
Mwanariadha wa kasi zaidi barani Afrika, Mkenya Ferdinand Omanyala, amethibitisha kwamba hatashiriki kwenye Fainali ya Diamond League ya 2025 kutokana na changamoto za majeraha. Nyota huyo...
Timu ya taifa ya wanawake ya voliboli ya Kenya, Malkia Strikers, imeondolewa kwenye mbio za ubingwa wa dunia wa FIVB baada ya kupoteza kwa ushindani kwa...
Uchaguzi wa viongozi wa mashinani wa Chama cha ODM katika kaunti ya Kilifi ulifanyika Agosti 25, 2025 licha ya awali kuhushudiwa vurugu baada ya kutofautiana kwa...
Serikali imetangaza kwamba Fedha za usimamizi wa shughuli za masomo katika shule za umma kote nchini zitasambazwa kabla ya wiki hii kukamilika ili kuwawezesha wanafunzi kuendelea...