Mkufunzi wa Harambee Stars Benni McCarthy ametangaza kikosi chake cha mwisho kwa ajili ya mechi mbili muhimu za kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Gambia na...
Gavana wa kaunti ya Kilifi Gedion Mung’aro amesema serikali yake iko mbioni kuhakikisha miradi yote ya maendeleo katika kaunti inakamilika kufikia mwezi juni mwaka ujao wa...
Kesi inayosubiriwa kwa hamu ya kumuondoa madarakani Gavana wa Kericho Erick Mutai, imeanza rasmi katika bunge la Seneti. Kulingana na ratiba rasmi iliyotolewa na Karani wa...
Seneta wa kaunti ya Kilifi, Stewart Madzayo amegadhabishwa na kile alichokiita utepetevu katika serikali kuu kufuatia malimbikizi ya miili inayofukuliwa Shakahola inayohifadhiwa kwenye makafani ya hospitali...
Wahudumu wa sekta ya uchukuzi wa Tuktuk katika wadi ya Mariakani eneo la bunge la Kaloleni kaunti ya Kilifi wanaendelea kulalamikia gharama ya juu ya bei...