Tume huru ya uchaguzi nchini Tanzania (INEC) imekiandikia chama cha upinzani cha ACT Wazalendo kuwa hakitaweza kumteua mgombea wa urais kupitia chama hicho, Luhaga Mpina. Katika...
Serikali ya kaunti ya Mombasa imethibitisha kupokea jumla ya chanjo elfu 5 za homa ya Mpox kutoka kwa wizara ya afya nchini. Chanjo hizo zinalenga kutolewa...
Wakaazi na wavuvi wanaotumia ufuo wa bahari hindi katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wameonywa kuwa waangalifu zaidi dhidi ya upepo mkali unaoshuhudiwa baharini. Kulingana...
Mashindano ya CHAN 2024 yakielekea ukingoni, mashabiki wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kutoka kwa baadhi ya nyota wakubwa wa muziki Afrika Mashariki. Kenya, Uganda na...
Msanii nguli kutoka Tanzania, Zuchu, anatarajiwa kutumbuiza kwenye mechi ya Fainali ya CHAN 2024 Jumamosi, Agosti 30, 2025 jijini Nairobi. Kupitia mitandao yake ya kijamii, Zuchu...