Kilabu ya Tottenham Hotspur imeafikia makubaliano rasmi ya kumsajili nyota wa RB Leipzig, Xavi Simons, kwa mujibu wa mtaalamu wa usajili Fabrizio Romano. Simons, ambaye aliwahi...
Mkufunzi wa Ureno Jose Mourinho ametimuliwa na klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki baada ya michezo sita pekee tangu kuanza kwa msimu mpya. Sababu...
Mahakama ya Kilifi imeagiza kuzuiliwa rumande kwa mwanaume mmoja aliyekabiliwa na mashtaka ya ulawiti wa mtoto wa umri wa miaka 9. Akitoa agizo hilo Hakimu wa...
Wakulima wa zao la pamba kaunti ya Lamu wamepata afueni baada serikali kujengewa kiwanda cha kutayarisha zao la pamba. Katibu katika idara ya uekezaji kaunti hiyo...
Bingwa mtetezi wa Olimpiki katika mbio za mita 800, Emmanuel Wanyonyi, aliibuka mshindi wa taji la Diamond League baada ya kumshinda Max Burgin wa Uingereza katika...