Waziri wa utumishi wa Umma nchini Geoffrey Ruku anasema serikali inaangazia kuwianisha mishahara ya watumishi wa umma na kukumbatia mageuzi ya kidijitali, ikiwa ni pamoja na...
Kaunti ya Lamu inaendelea kushuhudia changamoto ya nguvu za umeme ambayo inaendelea kuathiri utoaji wa huduma katika idara mbali mbali katika kaunti hiyo. Gavana wa kaunti...
Maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Inuka eneo bunge la Likoni kaunti ya Mombasa wanamzuilia mwanamume mmoja baada ya kumkamata akiwa na misokoto 284...
Muungano wa wauguzi katika kaunti ya Lamu ukiongozwa na Erick Otieno umekosoa kitendo cha maafisa wa polisi cha kuwatupia vitoa machozi walipoandamana kuelekea makao makuu ya...
Bingwa mtetezi wa wanaume mpira wa tenesi Jannik Sinner aliingia raundi ya tatu ya US Open hapo jana huku Coco Gauff na Iga Swiatek wakipambana kuendeleza...