Kilabu ya Liverpool wakubaliana kumsajili mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak kutoka Newcastle United Liverpool wamekubaliana kumsajili mshambuliaji wa Uswidi Alexander Isak kutoka Newcastle United kwa mkataba...
Mashirika mbalimbali ya kijamii kaunti ya Kilifi yanayojihusisha na masuala ya uchumi wa bahari yamejitokeza na kuhamasisha jamii kuhusu athari za mabadiliko ya hali ya anga....
Mwakilishi wa wadi ya Junda kaunti ya Mombasa Sylvester Kai amewakosa mawaziri katika serikali ya kaunti hiyo kwa madai ya kuhujumu maendeleo mashinani. Kai alidai kwamba...
Mkufunzi wa zamani wa Manchester United Erik Ten Hag ametimuliwa na klabu ya Bayern Leverkusen baada ya mechi tatu pekee akiinoa klabu hiyo ya taifa la...
Huduma ya kitaifa ya polisi nchini NPS imethibitisha kufariki kwa maafisa mmoja wa polisi anayehudumu katika kitengo cha kudhibiti amani na usalama nchini Haiti MSS. Katika...