Mashirika ya kutetea haki za binadamu eneo la pwani yameeleza wasi wasi wao kuhusu madai ya kuibuka kwa mbinu mpya ya mauaji ya wazee katika kaunti...
Serikali inasema itawalipia wakenya milioni 1.5 matozo ya bima ya afya – SHA kuanzia wiki ijayo. Haya ni kwa mujibu wa rais William Ruto ambaye alisema...
Bunge la kitaifa linashiriki maonyesho ya kilimo ya kimataifa ya Mombasa kwa mara ya kwanza katika historia yake, ambayo yanaanza rasmi Jumatano Septemba 3, 2025 katika...
Halmashauri ya bandari Kenya (KPA) pamoja na serikali ya kaunti ya Siaya zimeahidi kushirikiana kwa karibu kuimarisha miundomsingi ya usafiri na biashara katika ukanda wa Ziwa...
Mchakato wa kumbandua mamlakani Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja pamoja na Naibu wake James Muchiri umekosa kuendelea baada ya Kinara wa Chama cha ODM...