Wakaazi wa Magarini kaunti ya Kilifi wanalalamikia kukithiri kwa changamoto ya uhaba wa maji inayoendelea kushughudiwa katika eneo hilo. Wakiongozwa na Joseph Kithi, wakaazi hao walielezea...
Rais wa Japan Karate Association Kenya, wakili George ametangaza kuwa mdhamini mkuu wa timu za Karate kutoka Kilifi kushiriki katika Mashindano ya Desemba yajayo. Mashindano ya...
Rais wa Chama cha Karate nchini wakili George Kithi amemkaribisha rasmi Shihan Koichiro Okuma, mwalimu kutoka Makao Makuu ya Japan Karate Association (JKA) na Sensei Daniel...
Baada ya kilabu ya Zetech Sparks mpira wa kupata ushindi wa kishindo dhidi ya Strathmore Swords katika nusu fainali za Ligi ya Mpira wa Kikapu ya Wanawake...
Mchezaji wa Tenisi Novak Djokovic amefuzu kwenye mechi ya nusu fainali ya US Open dhidi ya Carlos Alcaraz siku ya Jumanne huku bingwa mtetezi wa upande...