Wazazi katika shule ya msingi ya Tangai eneo bunge la Magarini kaunti ya Kilifi wanaiomba serikali pamoja na wahisani kubuni mikakati ya kuboresha miundomsingi ya taasisi...
Kamati ya bunge la kitaifa kuhusu uchumi wa bahari na masuala ya ubaharia imewataka wawekezaji wote waliovamia ardhi zilizotengewa Kauli hii ilijiri baada ya wavuvi na...
Mahakama ya Kilifi iliagiza mshukiwa wa kesi ya ulanguzi wa dawa za kulevya kuzuiliwa rumande. Hii ni baada ya mshukiwa wa kesi hiyo Hamisi Kazungu Ali...
Msanii maarufu wa Kenya, Arrow Bwoy, amezua gumzo mtandaoni baada ya kumualika wazi wazi mfanyabiashara kutoka Uganda, Shakib Cham, kwenye pambano la ndondi. Hii imekuja baada...
Matumizi ya rekodi ya pauni bilioni 3 ($4 bilioni) katika dirisha la usajili la majira ya kiangazi yamezidi kuimarisha hadhi ya Ligi Kuu ya England kama...