Kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua amekosoa serikali kwa kusalia kimya kuhusiana na madai ya uwepo wa jeshi la Jubaland hapa nchini. Naibu huyo wa...
Goli la mkwaju wa adhabu kutoka kwa kiungo Dominik Szoboszlai ilisaidia Liverpool kupata ushindi wa 1-0 dhidi ya wapinzani wao wa moja kwa moja wa taji,...
Timu ya Taifa la Morocco Atlas Lions imejikita zaidi katika historia ya soka barani Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar...
Rais wa CAF, Dkt. Patrice Motsepe na Rais wa FIFA, Gianni Infantino, wamesifu Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN) 2024 yaliyoisha hivi...
Jamii ya wapokomo wanaoishi kaunti ya Mombasa wamelalamikia kutengwa na serikali ya kaunti hiyo kwa kile wanachodai kuwa ni ubaguzi wa kikabila. Wakiongozwa na mwenyekiti wao,...